Search results

  1. E

    Nawakumbusha Tuliwahi Kumsajili Beki Mmoja Akiitwa Mohamed Ouattara Lakini Tukaishia Kumtukana, Tusubiri Uwanjani Ndio Tuwasifie

    Tumeshajifunza ndo maana hatukufanya makosa kwa Inonga,,,so, anakuja kuendeleza aliyoyafanya Inonga.
  2. E

    Hivi Wachagga wanacheza soka? Nimewahi kuwasikia akina Mwakalebela, Minziro, Masatu lakini siyo Massawe au Mushi!

    Christopher Alex Massawe ( former Simba SC player), Jacob Massawe Namungo FC, Deogratius Munishi, Leodigar Tenga,,,hahaaaha Wachagga wapo kote kote arifu,,,🤣🤣🤣
  3. E

    Lameck Lawi Kayeyuka SIMBA Anaenda Kucheza Ulaya

    Mbona mnatuchanganya mara kasaniliwa Simba SC mara anaenda ulaya,,, tumwamini nani sasa??
  4. E

    Ahoua Jean Charles usajili bora zaidi Tanzania

    Tusisahau kuna mwamba mmoja anaitwa AUBIN KRAMO,,,,mwenyezi Mungu naomba umjalie uponaji huyu mwamba wetu. Hakika Simba SC naiona ikiwa bingwa wa CAF Confederation Cup 2024/2025.
  5. E

    Sasa Tuone Kama Simba Itakufa.

    Kwani Chama ndo nani hasa hadi tumlilie?? Kama vipi pita hivi,,,
  6. E

    Usajili Wa Chama Kwenda Yanga -Yanga Hamueleweki, Sijui Mna Shida Gani!

    Chama alijuwa kipindi kile, ila toka aliporudi kutoka RS Berkane hakuwa na la maana sn kwa SSC,,,,tulimpokea kwa sabu ya mazuri alotufanyia. Hata CR7 alikuwa tegrmeo kwa Real Madrid lakini alipoondoka mbona watu walipeta kama kawaida na makombe yakizidi kumiminika.So, kikubwa ni kufocus kwenye...
  7. E

    Sababu Zinazonifanya Niamini Simba Hatachukua Ubingwa NBCPL 2024/2025

    Kama vipi mashabiki GEN Z tuandamane coz hawa wazee naona kama vile wako nyuma ya wakati coz wanafanya mambo kwa mtindo wa kizamani sana.
  8. E

    Yanga Kumnunua Prince Dube kwa 520M ni hasara

    Watakuja kujuta hawa vyura.
  9. E

    Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

    Maisha ni ups and downs wajameni,,,hata Barca,Man U, nk zimeflop,,,kikubwa tutumie changamoto vizuri ili tuje kivingine.BAADA YA DHIKI FARAJA.
  10. E

    Kuvunja Mkataba wa Jobe Simba Wanatakiwa Kulipa Million 700

    Mangingu na wenzake ni wahuni,,,unampaje mchezaji kama Jobe mkataba aa miaka miwili??? Mbona mnataka kuifilisi timu makusudi?? Au hiyo ndo vision yenu???
  11. E

    Zambia 0 Tanzania 1 Mchezaji Gani Amekuvutia Katika Mchezo Huu?

    Aly Salum Katoro apewe 🌹🌹🌹.ongeza na Edwin Balua 🌹🌹🌹,,,
  12. E

    Tanzania yachaguliwa kuwa chuo cha mafunzo ya VAR

    Vivaaa,,, soka limeitika Bongo ndo maana wameichagua.
  13. E

    Hizi Hapa Timu 16 Zitazokiwasha Kagame Cup 2024

    Kila la kheri Simba Sports Club kuelekea michuano ya Kagame cup,,,
  14. E

    Wanasimba Kauli ya CADENA Mmeichukuliaje?

    Robertinho kavuna alichopanda
  15. E

    Mfahamu Tajiri Mpya barani Asia

    Someni sanaaaaa afu mje mtaani kubeti na kucheza madubu ya mchina. Huku A University dropout became the most wealthy person in Asia currently,,,there is something to learn here. If we don’t take risk, we will work for someone who does.
  16. E

    Kwa Yanayoendelea Mtandaoni Kuhusu SIMBA Wewe Maoni Yako Ni Yapi?

    Sahihi kabisa ,,,impact yao tumeiona so hawana hadhi ya kuiongoza Simba SC. Wababaishaji hawa, kama vipi wapite hiviii,,,we need real and genuine leaders for sustainable development in this Institution
  17. E

    Kwa Yanayoendelea Mtandaoni Kuhusu SIMBA Wewe Maoni Yako Ni Yapi?

    Sahihi kabisa ,,,impact yao tumeiona so hawana hadhi ya kuiongoza Simba SC. Wababaishaji hawa, kama vipi wapite hiviii,,,we need real and genuine leaders for sustainable development in this Institution.